Sunday, May 23, 2010

UMEME

Ndugu zangu,
Naomba kwanza radhi kwani sijajua kama una muda wa  kusoma na kisha utapata muda mwingine tena wa kutafakari kwa  kujibu maswali mawili nitayouliza na kuomba msaada wa kupata jibu toka kwako.
1.Kuna nchi gani duniani umeweza kupiga hatua ya kimaendeleo pasipo kuwa na umeme wa uhakika na miundo  mbinu?
2.Nchi gani dunia imeweza kuendelea kitaaluma bila mipango makini ya kuwa na mitaala ya kufundishia na kufujifunzia?

mwishowareli@gmail.com

No comments: