he he.. yaani bado mko primitive namna hiyo..hata wanachuo hawana redio zao wanategemea kupata newz toka redio ya chuo...badilikeni na tabia hiyo!!!ilikuwa enzi zile za alfu ulela ambapo wanakijiji walikusanyika kwa m/kiti wa kijiji kusikiliza newz kama hizo.. hizo rebo vifuani nazo nini maanake???
1 comment:

Post a Comment