Wednesday, March 19, 2008

KWA DC WETU_KASULU





1 comment:

Anonymous said...

Jamani unafanyeje ukiona picha za nyumbani
sante mkubwa kwa kutundika hapa unatuwekea kumbukumbu kubwa sana sie tuliombali na kwetu na kutkumbusha wajibu
maana ukliwahuku unaona majengo mazuri mazuri na starehe za mda unasahau kwenu lakini nadhani ni wajibu wetu kujua nini tunastahili!!na hilo ni moja tu kukumbuka tulikotoka
narudia tena asante mkubwa hii ni kumbukumbu ya kutosha!!
mungu akujalie