Thursday, December 31, 2009

INI ZE CHACHI

1 comment:

Anonymous said...

Mr. Njili hiyo clip yako inachekesha na kufundisha pia. Huyo kijana ni miongoni mwa remarkable comedians wa Nollyhood (Nigeria).Yeye pamoja na akina Nkem Owoh, Sam Loco, John Okafor, nk hutumia mtindo huo wa kupeform kufikisha ujumbe kusudiwa. Ingekuwa vyema both girls na pastors wakatazama hiyo video. Nadhani inaweza kuwa changamoto hapo Kasulu.