Ndugu zangu,
Naomba kwanza radhi kwani sijajua kama una muda wa kusoma na kisha utapata muda mwingine tena wa kutafakari kwa kujibu maswali mawili nitayouliza na kuomba msaada wa kupata jibu toka kwako.
1.Kuna nchi gani duniani umeweza kupiga hatua ya kimaendeleo pasipo kuwa na umeme wa uhakika na miundo mbinu?
2.Nchi gani dunia imeweza kuendelea kitaaluma bila mipango makini ya kuwa na mitaala ya kufundishia na kufujifunzia?
mwishowareli@gmail.com
No comments:
Post a Comment